Lyrics: Sikuhitaji - Ray C

"Sikuhitaji" from the album "Mapenzi Yangu"
By Ray C

Nimekuvumilia sana
Nimeteseka mimi sana
Nimechoka nenda zako
Wala sikuhitaji tena

Mwanaume gani huna hata huruma
Kazi yako wewe kunisemasema
Mapenzi yako yamekwenda wapi
Ah, ah, sikutaki
Sasa sasa basi
Achananami ondoka zako
Sikuhitaji sikutaki

Nasema kutoka moyoni mwangu
Nimechoka na tabia zako
Bora niachane nawe
Ah, ah, nimechoka
Natafuta mwingine wa kunionyesha mapenzi ya dhati
Dha, dha, dhati
Dhaidha, dhaati
Sikuhitaji




Lyrics: Sikuhitaji - Ray CSocialTwist Tell-a-Friend

No comments:

Post a Comment

Submit your comments here: