Lyrics: Siamini - TID

"Siamini" from the album "Sauti Ya Dhahabu"
By TID

Oh siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe

Wajua pendo letu lilipotoka
Ni mbali sana mpenzi siwezi sema
Milima na mabonde mengi tumeshuka
Oh, maneno mengi walisema, kote bara
Na visiwani oh oh oh
Kindani cha moyo wangu oh oh oh
Sogea karibu yangu oh oh oh
Maneno ya kweli kwako oh
Siamini

Oh siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe

Taarifa hii timamu
Kumbuka la kitimu timu
Tulishanapowe jangwani
Na mambo ya baharini
Sijiwezi hasilani
Mwenzio kwako taabani oh oh oh
Kindani cha moyo wangu oh oh oh
Sogea karibu yangu oh oh oh
Maneno ya kweli kwako oh
Siamini

Oh siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe

Hallo hallo, hebu nieleze manake natoka zangu zanzibari nafika darisalama
Kila kona nasikia siamini kwani nani huyu kijana
T. I.D allaa kumbe weye
Yuwapiwee, (hallo hallo)
Yuwapi mamake harusi aje hapa tuhangaike naye
Yuwapiyee
Yuwapi babake harusi aje hapa tuhangaike naye
Yuwapiwee
Yuwapi kakake harusi aje hapa tuhangaike naye
Aje hapa (Sema nao basi, halo, kwa raha zangu)
Eti aje hapa
Semi aje hapa
Sema tena aje hapa oh

Oh siamini
Kama tuko wote
Kama tuko wote
Mimi na wewe


MP3 Download Links! Click on your favorite song.
Lyrics: Siamini - TIDSocialTwist Tell-a-Friend

No comments:

Post a Comment

Submit your comments here: