Lyrics: Shika More - Longombas

"Shika More" from the album "Chukua"

Mara ya kwanza kukucheki
Ukisheki
Aki ya Mungu nilinoki
Nikakupa the approach of hi baby
You are so cutie
I wanna talk to you
Ulinipa macho ya mapenzi
Roho yangu
Ukaishika kishenzi
Navyoongea
Nimeishi nawe miezi
Lakini
Sista vipi
Mbona hunipi
Sista vipi
Mbona sishiki
Nikushike kidogo niku...ah
Niku...ah, niku...ah
Nikushike kidogo niku...ah

Nataka kukushika more
Mbona wanikazia oh no
Nataka kupa sweet sweet love
Mbona wanikazia oh

Nimevumilia, sasa nimechoka
Leo nimeamua kukuomba
Naomba tu
Kidogo tu
Naomba tu
Kidogo tu
Nipate ile feeling
Kama nina mchumba
Nipate ile feeling
Kama ninapendwa
Nipate ile feeling
Kama nina mchumba
Nipate ile feeling
Kama ninapendwa
Naomba tu
Kidogo tu
Naomba tu
Kidogo tu
Nishike more
Ooh

Nataka kukushika more
Mbona wanikazia oh no
Nataka kupa sweet sweet love
Mbona wanikazia oh

Shika!
Papari papara
Papari

Yo shika
Ah shika hiyo
Shika more

Nataka kukushika more
Mbona wanikazia oh no
Nataka kupa sweet sweet love
Mbona wanikazia oh



Lyrics: Shika More - LongombasSocialTwist Tell-a-Friend

1 comment:

  1. Rectification. It should go..
    Mbona wanikazia condom...condoooom

    ReplyDelete

Submit your comments here: