Lyrics: Sogea Sogea - Ray C

"Sogea Sogea"
By Ray C

Sogea sogea we cheza nami aha
Nikikutizama nawe upate raha
Usitazame pembeni jua, you are my man
Usitazame pembeni jua, you are my man

Siku ya kwanza uliponitokea
Nilishindwa hata kujizuia
Karibu nawe nikakupitia
Haya nguvu nikapotelea
Tabasamu nikaliachia
Viungo vyote vilinilegea
Pale nawe uliponiitikia
Maungo yote yakasisimka
Nimeshakupenda
Nimekuzimia
Sijiwezi tena hata kusogea

Ebu nitazame ninavyoumia
Naomba useme umenipokea
Nataka niwe nawe katika dunia
Nakupenda sana sitakuachia
Ukweli wangu nimeshakwambia
Penzi kikohozi dawa naijua
Ukweli wangu nimeshakwambia
Penzi kikohozi dawa naijua
Njoo nibembeleze
Nakuaminia
Nipe raha baby
Nimekuzimia

Come to me baby boy
I wanna hold you, kiss you
Nakutakataka
Come to me baby boy
Ninakutamani
Ninakuhusudu
Niwe wako baby
Nipe nipe mambo
Come to me baby boy



Lyrics: Sogea Sogea - Ray CSocialTwist Tell-a-Friend

No comments:

Post a Comment

Submit your comments here: