Lyrics: Nihurumie - Ray C

"Nihurumie"
By Ray C featuring Chidi Benz

Nihurumie wangu we
Usiniache wangu we
Utanitesa wangu we
Ukiniacha utanionea

Miaka mingi nimeishi na wewe
Toka kwenye shida mpaka kwenye raha
Lazizi leo sijageuka
Ukafanya wenza wakanicheka
Nimeishi nawe
Nimekupa raha
Bila kuwa nawe
Sioni raha yeee
Lyrics: Nihurumie - Ray CSocialTwist Tell-a-Friend

No comments:

Post a Comment

Submit your comments here: