Lyrics: Tatizo - Artists.ke

"Tatizo"
By Artists.ke: Karma, Pam, Wyre, Nyashinski, Abbas Kubaff, Nameless & Jua Cali

Usimpe roho ya waza kwanza
Wapi tofauti yake nao
Sina noma naye
Wowowo

Hebu nikueleze
Wananinokisha
Wananniambia
Mimi ni malaika
Ninawapendeza
Wote wananiwaza
Siwezi wakataa
Njaro zao manufaa

He's trying to blind you girl
He don't really love you
Usidanganyike
Mwambie
Ajikate

Usimpe roho ya waza kwanza
Wapi tofauti yake nao
Sina noma naye
Wowowo

So many times I told you I'm
The type of guy you'll never find
Messing around with your mind, alright
But ever since I've been away
You acting like I wanna play
Do you know how you make me feel?

Usimpe roho ya waza kwanza
Wapi tofauti yake nao
Sina noma naye
Wowowo

Anaku-show u-smoke sigara kwa wingi na igniter tu
Ati wee kukuwa na mi itakuwa blunder ju
Nimekuwa bad boy ever since standard 2
Kuchapa watoi mateke hadi naganda mguu
Lakini hajui haifaidi
Akikuambia mi ni roughneck bad boy
Ndio unanipenda zaidi
Kile roho yako imechagua ishachagua
Na hiyo ni kitu iko sure
Hata ye mwenyewe anajua
Nyashinski

Baby una-smell fresh
Kama lavender na cherry
Si nikuite Mariah jo vile ume-carry
Ring kwenye belly na smile ya Halle Berry
Mathake hani-like since anicheki kwa telly
Ju mi huwanga juu ya maji jo kama ferry
Mi huwanga magush na seduce hata medusa
Nagusa kipusa anapata ma-goosebumps
Nine inches kwa boxers
Abbass baby

Usimpe roho ya waza kwanza
Wapi tofauti yake nao
Sina noma naye
Wowowo

This here's getting critical
Intellectual and physical
Nipe nafasi nipe hii interval
Nikuonyeshe loving hizi unbeatable
Na uwaambie wasinichafie
Tuende nyumbani baby tusinzie
Nikupe date ui-mark kwa calendar
Nikupe agenda kupenda Bogi benda

Nimetia bidii bana si unikubali
Ukinikataa nachinjia beste yako kwani
Mtu wa nguvu ka mimi siezi kaa bila manzi
Siezi kuwa kila siku najiskizia ndani kwa ndani
Nipe roho yako
Nipe kila kitu yako
Shika maua ringia beste zako
Shika halua kulisha beste zako

Usimpe roho ya waza kwanza
Wapi tofauti yake nao
Sina noma naye
Wowowo



Lyrics: Tatizo - Artists.keSocialTwist Tell-a-Friend

2 comments:

Submit your comments here: